Amu. 17:8 SUV

8 Mtu huyo akatoka katika huo mji, katika Bethlehemu-yuda, ili aende kukaa hali ya ugeni hapo atakapoona mahali; akafikilia nchi ya vilima vilima ya Efraimu katika safari yake, hata nyumba ya huyo Mika.

Kusoma sura kamili Amu. 17

Mtazamo Amu. 17:8 katika mazingira