Amu. 18:1 SUV

1 Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; tena katika siku hizo kabila ya Wadani wakajitafutia urithi wapate mahali pa kukaa; maana hata siku hiyo urithi wao haujawaangukia kati ya kabila za Israeli.

Kusoma sura kamili Amu. 18

Mtazamo Amu. 18:1 katika mazingira