Amu. 18:23 SUV

23 Wakawapigia kelele wana wa Dani. Nao wakageuza nyuso zao na kumwambia Mika, Una nini wewe, hata ukaja na mkutano namna hii?

Kusoma sura kamili Amu. 18

Mtazamo Amu. 18:23 katika mazingira