Amu. 19:28 SUV

28 Akamwambia, Haya ondoka, twende zetu; lakini hakuna aliyemjibu; ndipo akamwinua akamweka juu ya punda; mtu huyo akaondoka, akaenda mahali pake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Amu. 19

Mtazamo Amu. 19:28 katika mazingira