Amu. 2:10 SUV

10 Tena watu wote wa kizazi hicho nao walikusanywa waende kwa baba zao; kikainuka kizazi kingine nyuma yao, ambacho hakikumjua BWANA, wala hawakuijua hiyo kazi ambayo alikuwa ameitenda kwa ajili ya Israeli.

Kusoma sura kamili Amu. 2

Mtazamo Amu. 2:10 katika mazingira