Amu. 2:19 SUV

19 Lakini ikawa, wakati alipokufa mwamuzi huyo, wakarudi nyuma wakafanya maovu kuliko baba zao, kwa kuifuata miungu mingine ili kuitumikia, na kuinama mbele yao; hawakuacha matendo yao, wala njia zao za ukaidi.

Kusoma sura kamili Amu. 2

Mtazamo Amu. 2:19 katika mazingira