Amu. 20:15 SUV

15 Hao wana wa Benyamini walihesabiwa siku ile kutoka hiyo miji, watu waume ishirini na sita elfu waliotumia upanga, zaidi ya hao waliokaa Gibea, ambao walihesabiwa watu wateule mia saba.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:15 katika mazingira