Amu. 20:23 SUV

23 Wana wa Israeli wakakwea juu na kulia mbele za BWANA hata jioni; wakamwuliza BWANA, wakisema, Je! Niende nikaribie tena kupiga vita juu ya wana wa Benyamini ndugu yangu? BWANA akasema, Haya, kweeni, mwende kupigana naye.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:23 katika mazingira