Amu. 20:26 SUV

26 Ndipo wana Israeli wote, na hao watu wote, wakakwea, wakaenda Betheli, na kulia, wakaketi hapo mbele za BWANA, wakafunga siku hiyo hata jioni; nao wakasongeza sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za BWANA.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:26 katika mazingira