Amu. 20:32 SUV

32 Wana wa Benyamini wakasema, Wamepigwa mbele yetu kama kwanza. Lakini wana wa Israeli wakasema, Haya, na tukimbie, na kuwavuta wauache mji waende katika njia kuu.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:32 katika mazingira