Amu. 20:4 SUV

4 Huyo Mlawi, huyo mume wa mwanamke aliyeuawa, akajibu na kusema, Mimi nilifikilia Gibea ulio wa Benyamini mimi na suria yangu, ili tulale.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:4 katika mazingira