Amu. 20:42 SUV

42 Kwa hiyo wakageuza maungo yao mbele ya wana wa Israeli kuelekea njia ya kwenda nyikani; lakini vile vita vikawaandamia kwa kasi; na hao waliotoka katika ile miji wakawaangamiza katikati yake.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:42 katika mazingira