Amu. 4:14 SUV

14 Debora akamwambia Baraka, Haya! Inuka; maana siku hii ndiyo siku ambayo BWANA amemtia Sisera katika mkono wako. Je! BWANA hakutoka atangulie mbele yako? Basi Baraka akashuka katika mlima wa Tabori, na watu elfu kumi wakamfuata.

Kusoma sura kamili Amu. 4

Mtazamo Amu. 4:14 katika mazingira