Amu. 5:26 SUV

26 Akanyosha mkono wake akashika kigingi,Nao mkono wake wa kuume ukashika nyundo ya fundi;Akampiga Sisera kwa hiyo nyundo, akamtoboa kichwa chake.Naam, alimpiga akamtoboa kipaji chake.

Kusoma sura kamili Amu. 5

Mtazamo Amu. 5:26 katika mazingira