28 Alichungulia dirishani, akalia,Mama yake Sisera alilia dirishani;Mbona gari lake linakawia kufika?Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?
Kusoma sura kamili Amu. 5
Mtazamo Amu. 5:28 katika mazingira