Amu. 6:19 SUV

19 Basi Gideoni akaingia ndani, akaandaa mwana-mbuzi, na mikate isiyotiwa chachu, ya efa ya unga; akaitia ile nyama katika kikapu, akautia mchuzi katika nyungu, akamletea hapo nje chini ya mwaloni, akampa.

Kusoma sura kamili Amu. 6

Mtazamo Amu. 6:19 katika mazingira