Amu. 6:21 SUV

21 Ndipo malaika wa BWANA akanyosha ncha ya fimbo ile iliyokuwa mkononi mwake, akaigusa ile nyama na ile mikate; moto ukatoka mwambani, ukaiteketeza ile nyama na mikate; malaika wa BWANA akaondoka mbele ya macho yake.

Kusoma sura kamili Amu. 6

Mtazamo Amu. 6:21 katika mazingira