Amu. 6:25 SUV

25 Ikawa usiku uo huo BWANA akamwambia, Mtwae ng’ombe wa baba yako, yaani ng’ombe wa pili, wa miaka saba, ukaiangushe madhabahu ya Baali, aliyo nayo baba yako, ukaikate Ashera ile iliyo karibu nayo;

Kusoma sura kamili Amu. 6

Mtazamo Amu. 6:25 katika mazingira