32 Basi akamwita Yerubaali siku hiyo, akisema, Baali na atete naye kwa ajili ya nafsi yake, kwa sababu ameibomoa madhabahu yake.
Kusoma sura kamili Amu. 6
Mtazamo Amu. 6:32 katika mazingira