Amu. 7:14 SUV

14 Mwenzake akamjibu akasema, Habari hii haikosi kuwa upanga wa Gideoni, mwana wa Yoashi, mtu wa Israeli. Mungu amewatia Wamidiani na jeshi lote katika mkono wake.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:14 katika mazingira