Amu. 7:16 SUV

16 Kisha akawapanga wale watu mia tatu wawe vikosi vitatu, akatia tarumbeta katika mikono ya watu wote, na mitungi isiyo maji, na mienge ndani ya hiyo mitungi.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:16 katika mazingira