Amu. 7:2 SUV

2 BWANA akamwambia Gideoni, Watu hawa walio pamoja nawe ni wengi mno hata nikawatie Wamidiani katika mikono yao, wasije Israeli wakajivuna juu yangu wakisema, Mkono wangu mwenyewe ndio ulioniokoa.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:2 katika mazingira