Amu. 8:28 SUV

28 Hivyo Midiani walishindwa mbele ya wana wa Israeli, wala hawakuinua vichwa vyao tena. Nayo nchi ilipata kuwa na amani muda wa miaka arobaini katika siku za Gideoni.

Kusoma sura kamili Amu. 8

Mtazamo Amu. 8:28 katika mazingira