Amu. 8:8 SUV

8 Basi kutoka hapo alikwea kwenda Penieli, akasema na watu wa mahali hapo maneno kama hayo; watu wa Penieli nao wakamjibu kama vile watu wa Sukothi walivyomjibu.

Kusoma sura kamili Amu. 8

Mtazamo Amu. 8:8 katika mazingira