Amu. 9:13 SUV

13 Huo mzabibu nao ukaiambia, Je! Niiache divai yangu, ambayo humfurahisha Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?

Kusoma sura kamili Amu. 9

Mtazamo Amu. 9:13 katika mazingira