Amu. 9:16 SUV

16 Basi sasa ikiwa mmetenda kwa uaminifu na uelekevu, katika kumtawaza Abimeleki awe mfalme, na ikiwa mmemtendea mema Yerubaali na nyumba yake, na kumtendea kama ilivyostahili mikono yake;

Kusoma sura kamili Amu. 9

Mtazamo Amu. 9:16 katika mazingira