Amu. 9:23 SUV

23 Kisha Mungu akapeleka roho mbaya kati ya Abimeleki na watu wa Shekemu; nao watu wa Shekemu wakamtendea Abimeleki kwa udanganyifu;

Kusoma sura kamili Amu. 9

Mtazamo Amu. 9:23 katika mazingira