Amu. 9:25 SUV

25 Basi watu wa Shekemu wakaweka watu kumvizia juu ya vilele vya milima, ambao waliwanyang’anya vitu vyao watu wote waliopita njia hiyo karibu nao; naye Abimeleki aliambiwa.

Kusoma sura kamili Amu. 9

Mtazamo Amu. 9:25 katika mazingira