Amu. 9:44 SUV

44 Abimeleki, na vile vikosi vilivyokuwa pamoja naye, wakafuliza kwenda mbele, wakasimama penye maingilio ya lango la mji, na vile vikosi viwili vikawarukia hao wote waliokuwa mashambani, na kuwapiga.

Kusoma sura kamili Amu. 9

Mtazamo Amu. 9:44 katika mazingira