Dan. 1:16 SUV

16 Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.

Kusoma sura kamili Dan. 1

Mtazamo Dan. 1:16 katika mazingira