17 Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; Danieli naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto.
Kusoma sura kamili Dan. 1
Mtazamo Dan. 1:17 katika mazingira