7 Mkuu wa matowashi akawapa majina; alimwita Danieli, Belteshaza; na Hanania akamwita Shadraka; na Mishaeli akamwita Meshaki; na Azaria akamwita Abednego.
Kusoma sura kamili Dan. 1
Mtazamo Dan. 1:7 katika mazingira