Dan. 10:19 SUV

19 Akasema, Ee mtu upendwaye sana, usiogope; amani na iwe kwako, uwe na nguvu, naam, uwe na nguvu. Aliposema nami nikapata nguvu, nikasema, Ee Bwana wangu, na aseme Bwana wangu; kwa maana umenitia nguvu.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:19 katika mazingira