Dan. 10:20 SUV

20 Ndipo akasema, Je! Unajua sababu hata nikakujia? Na sasa nitarudi ili nipigane na mkuu wa Uajemi; nami nitakapotoka huku, tazama, mkuu wa Uyunani atakuja.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:20 katika mazingira