Dan. 10:6 SUV

6 mwili wake pia ulikuwa kama zabarajadi safi, na uso wake mfano wa umeme, na macho yake kama taa za moto, na mikono yake na miguu yake rangi yake kama shaba iliyosuguliwa sana, na sauti ya maneno yake kama sauti ya umati wa watu.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:6 katika mazingira