Dan. 10:7 SUV

7 Nami, Danieli, nikaona maono haya peke yangu; maana wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona maono haya; lakini tetemeko kuu liliwashika, hata wakakimbia ili kujificha.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:7 katika mazingira