Dan. 10:9 SUV

9 Walakini naliisikia sauti ya maneno yake; nami niliposikia sauti ya maneno yake, ndipo nikashikwa na usingizi mzito, na uso wangu umeielekea nchi.

Kusoma sura kamili Dan. 10

Mtazamo Dan. 10:9 katika mazingira