Dan. 11:10 SUV

10 Na wanawe watafanya vita, na kukusanya mkutano wa majeshi makuu; watakaokuja na kufurika na kupita katikati; nao watarudi na kufanya vita mpaka penye ngome yake.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:10 katika mazingira