Dan. 11:11 SUV

11 Na mfalme wa kusini ataingiliwa na ghadhabu, naye atatoka na kupigana naye, yaani, na mfalme wa kaskazini; naye atapanga jeshi kubwa; na jeshi hilo litawekwa mikononi mwake.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:11 katika mazingira