Dan. 11:16 SUV

16 Maana ajaye kupigana naye atatenda kadiri apendavyo, wala hapana mtu atakayesimama mbele yake; naye atasimama katika nchi ya uzuri, na uharibifu utakuwa mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:16 katika mazingira