Dan. 11:17 SUV

17 Naye atakaza uso wake ili aje pamoja na nguvu zote za ufalme wake, naye atafanya mapatano naye; naye atatenda kadiri apendavyo; naye atampa binti wa watu ili amharibu; lakini hilo halitasimama wala kumfaa.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:17 katika mazingira