Dan. 11:18 SUV

18 Baada ya hayo atauelekeza uso wake kwenye visiwa, naye atavipiga visiwa vingi; lakini mkuu mmoja ataikomesha aibu iliyoletwa na yeye; naam, aibu yake hiyo atamrudishia mwenyewe.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:18 katika mazingira