Dan. 11:20 SUV

20 Ndipo badala yake atasimama mmoja, atakayepitisha mwenye kutoza ushuru kati ya utukufu wa ufalme wake; lakini katika muda wa siku chache ataangamizwa, si kwa hasira, wala si katika vita.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:20 katika mazingira