Dan. 11:21 SUV

21 Kisha badala yake atasimama mmoja, mtu astahiliye kudharauliwa, ambaye hawakumpa heshima ya ufalme; naye atakuja wakati wa amani, naye ataupata ufalme kwa kujipendekeza.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:21 katika mazingira