Dan. 11:7 SUV

7 Lakini katika chipukizi la mizizi yake atasimama mmoja mahali pake atakayeliendesha jeshi la askari, naye ataingia katika ngome ya mfalme wa kaskazini, na kuwatenda mambo, na kuwashinda;

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:7 katika mazingira