Dan. 11:8 SUV

8 na miungu yao, pamoja na sanamu zao, na vyombo vyao vizuri vya fedha na dhahabu atavichukua mpaka Misri; kisha atajizuia miaka kadha wa kadha asimwendee mfalme wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Dan. 11

Mtazamo Dan. 11:8 katika mazingira