Dan. 12:4 SUV

4 Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka.

Kusoma sura kamili Dan. 12

Mtazamo Dan. 12:4 katika mazingira