Dan. 12:5 SUV

5 Ndipo mimi, Danieli, nikatazama, na kumbe, wamesimama wengine wawili, mmoja ukingoni mwa mto upande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili.

Kusoma sura kamili Dan. 12

Mtazamo Dan. 12:5 katika mazingira