Dan. 2:1 SUV

1 Hata katika mwaka wa pili wa kumiliki kwake Nebukadreza, Nebukadreza aliota ndoto; na roho yake ikafadhaika, usingizi wake ukamwacha.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:1 katika mazingira