Dan. 2:2 SUV

2 Ndipo mfalme akatoa amri kuwaita waganga, na wachawi, na wasihiri, na Wakaldayo, wapate kumweleza mfalme ndoto zake. Basi wakaingia, wakasimama mbele ya mfalme.

Kusoma sura kamili Dan. 2

Mtazamo Dan. 2:2 katika mazingira